Kikamaru

Kikamaru ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakamaru kwenye kisiwa cha Buton. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kikamaru imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikamaru iko katika kundi la Kicelebiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search